E NEWS AUDIO

BILLNASS APATA AJALI USIKU HUU KIJITONYAMA

Msanii maarufu kutoka Tanzania, Billnass, ambaye pia ni mume wa msanii Nandy, amepata ajali usiku wa kuamkia leo maeneo ya Sayansi.

RELATED : AUDIO | Billnass – Magetoni | Download

Hata hivyo, Billnass amethibitisha kuwa yupo salama na hana majeraha makubwa, ingawa gari lake limeharibika vibaya. Alieleza kuwa ajali hiyo ilitokea wakati akijaribu kuwakwepa magari aliyoamini walikuwa wamelewa, kwani aliwapigia honi mara kadhaa kabla ya ajali kutokea. Taarifa zaidi zitatolewa hivi karibuni, endelea kufuatilia IK MZIKI kwa updates zaidi.