E NEWS AUDIO

MCZO MORFAN KUACHIA REAL LIFE DELUXE EDITION (NGOMA 5 KALI) LEO USIKU

Msanii maarufu kutoka Tanzania, MCzo Morfan, anajiandaa kuachia muendelezo wa albamu yake Real Life leo usiku. Toleo hili jipya, Real Life Deluxe Edition, litajumuisha nyimbo mpya 5 za moto zitakazovutia wapenzi wa muziki.

RELATED : EP | Mczo Morfan – Real life Deluxe Edition (5 Hit Song)

Real Life Deluxe Edition ni toleo la ziada la albamu ya Real Life, iliyotoka miezi michache iliyopita na kuwa na jumla ya track 16. Nyimbo hizi mpya zitapatikana hapa hapa katika IkMziki, na unaweza kupakua kwa urahisi kupitia link hii chini.

Huu ni kishindo kingine kutoka kwa MCzo Morfan!

EP | Mczo Morfan – Real life Deluxe Edition (5 Hit Song)

TRACKLIST

  1. Mczo Morfan – Kitambo Kile | Download
  2. Mczo Morfan – Masumbuko | Download
  3. Mczo Morfan – Pesa ya Mkaa | Download
  4. Mczo Morfan – Usinifiche | Download
  5. Mczo Morfan – Ninogeshe | Download