E NEWS AUDIO

ANTI VAIRAS ARUDI NA TRACK YA “AGAIN”

Baada ya kimya kirefu, msanii maarufu wa Singeli, Anti Vairas, amerudi rasmi kwenye gemu na track yake mpya Again! Kazi hii mpya inaonyesha ubunifu wa kipekee na nguvu ya muziki wa Singeli. Mashabiki wa muziki huu watapata burudani ya kipekee.

REALED : AUDIO | Ant Vairas – Again | Download

Wimbo huu ni ishara ya kurudi kwa Anti Vairas kwa kiwango cha juu, na ni hakika kuwa utaendelea kuvuma kwenye anga za muziki wa Singeli.

Kwa habari na matukio ya wasanii mbali mbali, usiache kutufollow IK Mziki.

#AntiVairas #Again #Singeli #IKMziki #MusicNews

Ant Vairas – Again