Leo ni siku ya kuzaliwa kwa msanii wa Singeli, Anno Name.
Timu nzima ya IK MZIKI inampongeza kwa mafanikio yake katika muziki na kumtakia heri katika safari yake ya muziki.
RELATED : Anno Name Ft. Black Africa – Siungesema | Download
Tunalenga kuona mafanikio makubwa zaidi kwake!
Heri njema Anno Name!