E NEWS AUDIO

LEO KAZALIWA MSANII S KALIOTY

Leo tunampongeza moja ya nguzo kuu kwenye game ya Singeli – S KALIOTY!
Mwana wa kazi, mfalme wa midundo ya kasi, na kipaji cha kipekee kinachozidi kung’aa kila kukicha.

Asante kwa kutupeleka mbali na kazi zako zenye mzuka wa hali ya juu. Tunakutakia maisha marefu yenye mafanikio zaidi!,Mashabiki, tusimame naye! Support kazi zake, play, share na show love kila kona!

#HappyBirthdaySKalioty
#TeamSingeli
#SupportLocalArtists
#SingeliNiTamaduni
#SKalioty