Msanii maarufu wa Singeli MO Faya anajiandaa kuachia hit kali inayokwenda kwa jina “Salome”, akiwa amemshirikisha mkali mwenzake Stizo!
RELATED : AUDIO | Mo Faya Ft. Rayza – Wabaya | Download
Ngoma hii imejaa ubunifu wa hali ya juu, midundo ya kasi, na ladha safi ya Singeli ambayo mashabiki wanapenda. Ushirikiano huu wa MO Faya na Stizo unaleta burudani ya kipekee, na bila shaka wimbo huu utatikisa mitaa!
Usikose kupata “Salome” hapa hapa kwenye tovuti yetu, IK Mziki! Pia, hakikisha unafuatilia ukurasa wetu @ikmziki ili usipitwe na habari zote mpya za muziki!
#Singeli #MOFaya #Stizo #Salome #MuzikiMpya #IKMziki