Msanii nyota kutoka Tanzania, Diamond Platnumz, aliwakilisha vikali akiwa amevalia kwa mitindo ya hali ya juu katika harusi ya rafiki yake wa muda mrefu, Juma Jux, iliyofanyika huko Nigeria.
RELATED : AUDIO Diamond Platnumz – Kuna MP3 DONWLOAD
Swag, class na presence ya nguvu – kama kawa!
Swipe kulia kuangalia picha zote
Usisahau kutuambia kwenye comments unadhani alikill au la!
#DiamondPlatnumz #JumaJuxWedding #Nigeria #IKMZIKI #BongoFlevaUpdates