AUDIO E NEWS

JAY COMBAT KUACHIA ALBUM MPYA (SOUND OF AFRICA)

Msanii mahiri wa Singeli, Jay Combat, anayefahamika kwa vibao maarufu kama Wivu, yupo tayari kuachia albamu yake mpya yenye nguvu, Sound of Africa. Albamu hii inajumuisha nyimbo 12 kali zinazoakisi ubunifu na upekee wake katika muziki wa Singeli.

RELATED : ALBUM | Jay Combati – Sound of Africa (12 Track Hit Song)

Kwa mashabiki wa Jay Combat na muziki wa Singeli kwa ujumla, hii ni albamu usiyopaswa kukosa! Itapatikana hapa hapa IKMZIKI – hakikisha unafuatilia ili usipitwe!

ALBUM HII DOWNLOAD KWA KUBONYEZA HAPA