E NEWS AUDIO

LEO KAZALIWA MSANII MSAKA DAILY

Leo tunasherekea kuzaliwa kwa mmoja wa mashine halisi kwenye mdundo wa Singeli – Msaka Daily, maarufu kama Mtoto wa Uswahili.

Kwa muda mrefu sasa, Msaka amekuwa sauti ya mtaa, mjumbe wa uhalisia, na mmoja wa vinara wanaoiwakilisha Singeli kwa uhalisi na ubunifu wa kipekee. Kutoka kwenye nyimbo zake za mtaa, hadi kwenye performances zinazotetemesha jukwaa, Msaka Daily anazidi kuandika jina lake kwa herufi kubwa kwenye historia ya muziki wa Singeli Tanzania.

RELATED : AUDIO | Msaka Daily – Ushamba | Download

Mashabiki wote wa Msaka Daily, huu ndio wakati wa kumtumia salamu za upendo, kumpa shavu, na kumuonyesha kuwa muziki wake unagusa roho za wengi! Tuandikie kwenye comment, au tumia #MsakaDaily kwa kumtakia kheri:

“Neno lako moja linaweza kumpa nguvu zaidi aendelee kufanya makubwa!”

Tuma ujumbe wako wa upendo hapa chini

appyBirthdayMsakaDaily #MtotoWaUswahili #SingeliKali